Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameunga mkono azimio la amani kuhusu mzozo wa jimbo la Tigray nchini Ethiopia na kuwa mpatanishi baina ya Ethiopia na Sudan katika mzozo tofauti wa mpaka.
Hawa ni viumbe 10 wa ajabu wanaopatikana baharini bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Zambia: Rais Edgar Lungu akubali kushindwa | Matukio ya Afrika | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Rais Lungu mwenye umri wa miaka 64 na amekuwepo madarakani tangu mwaka 2015, anakabiliwa na ushindani wa karibu sana dhidi ya Hichilema anayejulikana kama HH, mfanyabiashara anayekosoa usimamizi wa rais kwenye masuala ya uchumi ambao una matatizo.
Waendesha mashitaka, Ujerumani wamesema wanamzuilia raia mmoja wa Uingereza anayetuhumiwa kufanya ujasusi kwa niaba ya Urusi wakati anafanya kazi katika ubalozi wa Uingereza mjini Berlin Ujerumani.