Round Rock Classic announces 2022 field that includes Arkansas
arkansasonline.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from arkansasonline.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Razorbacks to Take Part in 2022 Round Rock Classic
arkansasrazorbacks.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from arkansasrazorbacks.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Iraq, Misri na Jordan zafanya mkutano wa kilele
Misri, Jordan na Iraq zimekubaliana kuimarisha ulinzi na ushirikiano wa kiuchumi katika mkutano wao wa kilele ambao kwa mara ya kwanza umeudhuriwa na mkuu wa nchi wa Misri kwa takribani miongoni mitatu.
Rais Abdel Fattah al-Sisi na Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan wamekutana na Rais wa Iraq Barham Saleh pamoja na Waziri Mkuu Mustafa al-Kadhemi ambapo rais Saleh anasema mkutano huo ulikuwa na maana kubwa katika eneo hilo linalokabiliwa na changamoto nyingi.
Ziara hiyo ya Rais al-Sisi na Mfalme Abdullah inafanyika katika kipindi ambacho Iraq inafanya jitihada za kujisogeza karibu na mataifa ya kiarabu ambayo ni washirika wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.