Live Breaking News & Updates on சந்தைப்படுத்தல் படைப்பு சேவைகள்

Stay updated with breaking news from சந்தைப்படுத்தல் படைப்பு சேவைகள். Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Sepetuko Podcast; Uhuru ameamua ni Raila - kuondoa chuki za kihistoria

Uhuru Kenyatta amefanya kikao kilichowaleta pamoja Raila Odinga na viongozi wa One Kenya Alliance, OKA. Uhuru aliwashawishi kumuunga mkono Raila, akisema ndiye wa pekee mwenye ushawishi wa kisiasa. Japo haijasemwa, Uhuru analenga kuondoa siasa za chuki za kihistoria na kuchimbana.za tangu miaka ya 60. Pia analenga kuondoa propaganda dhidi ya familia ya Jaramogi ila kumtenga Ruto au kutotimiza ahadi ambazo Uhuru alimpa kuhusu kumuunga mkono 2022 ni kutobadili kitu; ni kuendeleza uadui wa kisiasa nchini. ....

Raila Odinga , Freedom Kenyatta ,