Poland yakosolewa kuwarejesha wakimbizi kinyume cha sheria | Matukio ya Kisiasa | DW
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu, Amnesty International limesema kuwa Poland iliwarejesha kinyume cha sheria wahamiaji waliokuwa wamekwama kwenye mpaka wake na Belarus.