📰 Carousel Constructor Plugins News
Page 134 - Carousel Constructor Plugins News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.
August 4, 2021
July 17, 2020 The Pentagon on Friday laid out a new policy on Friday that will ban displays of the Confederate flag on military installations, in a memo t...
August 4, 2021
Msanii wa Bongo Fleva, Billnass amesema madai ya yeye kuachana na mchumba wake, Nandy ni jambo lenye mkanganyiko (complicated) na hapendi kulizungumzia. . "Kuhusu Nandy nisingependa kuzungumza sana upande huo, kwa sababu ni moja ya wanawake ambao ninawaheshimu sana..., complicated," amejibu Billnass. "Kufuta picha ilikuwa ni sababu ya project yangu ya tatizo, nilikuwa naanza ukurasa mpya, na nilikuwa nafikiria kuja na EP inaitwa ukurasa mpya, na bado ipo kwenye mipango na kuna watu tunazungu...
August 4, 2021
Mwimbaji wa Tanzania Harmonize aliwaacha mashabiki wake kwenye bumbuwazi baada ya kuomba msamaha hadharani kwa mkewe wa zamani Sarah kwenye akaunti yake ya Instagram. Wawili hao walikuwa pamoja kwa miaka minne, uhusiano wao ulikuwa wa kupendeza zaidi kati ya wanandoa wengine mashuhuri. Walienda kwenye hafla pamoja, na pia kuwafanya mashabiki kuwaona wao ni wanandoa kamili. Baada ya uhusiano wa miaka minne, Sarah alifahamu juu ya mtoto wa siri wa Harmonize ambaye alibarikiwa na mwanamke mwi...
August 4, 2021
Director Kenny amekanusha uvumi wa taarifa za kutemwa na msanii Diamond Platnumz baada ya kuonekana kubadilisha mwongozaji wa video yake mpya “Iyo” iliyofanyika na Hanscana. Mwongozaji wa video huyo amesema alikuwa amesafiri kwenda nchini Zimbabwe kikazi na ndio maana hakufanya video ya “Iyo” waliyoshiriki Focalistic, Mapara A Jazz na Ntosh Gazi kutoka Afrika Kusini bado yupo Zoom Extra. Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
July 30, 2021
HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo ya COVID19 jana Julai 28, 2021 kwa yeye na viongozi wengine kuchomwa, wizara ya afya imetangaza utaratibu wa kutoa chanjo hiyo kwa wananchi. Hata hivyo wizara imeeleza kuwa awamu ya kwanza ya utoaji wa chanjo unalenga kundi la watoa huduma za afya katika vituo vyote vilivyopo mkoa wa Dar es Salaam, na zoezi litafanyika katika vituo 15. Kufanikisha zoezi hilo wizara imewaagiza waganga wakuu wa halmashauri ku...
July 30, 2021
HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu wanaopinga kuchanjwa. Rais wa Marekani Joe Biden amewashauri viongozi wa majimbo na miji yote nchini humo kuwalipa wakazi wao dola 100 ili wapigwe chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Aidha ameweka sheria mpya zinazohitaji wafanyakazi wote wa serikali kuonyesha uthibit...
July 30, 2021
1. Ibrahim Ajibu - Kutoka Simba 2. Fiston Mayele - Kutoka AS Vita 3. Djuma Shabaan - Kutoka AS Vita 4. Herritier Makambo - Kutoka Horoya AC 5. Yakubu Mohammed- Kutoka Azam FC 6. Eric Johora - Kutoka Agle Noir 7. Dickson Ambundo - Kutoka Dodoma Jiji 8. David Bryson - Kutoka KMC .
July 23, 2021
Snow leopard caught on camera in Kazakhstan Snow leopard caught on camera in Kazakhstan July 22, 2021 Share To: A rare snow leopard was captured on camera in eastern parts of Kazakhstan, the first sighting of the species in five years. Share
July 23, 2021
Mercedes hits accelerator in e-car race with Tesla Mercedes hits accelerator in e-car race with Tesla July 22, 2021 Share To: Mercedes-Benz maker Daimler plans to invest more than $47 billion by 2030 to be ready to take on Tesla in an all-electric car market, but warned the shift in technology would lead to job cuts. Share
July 21, 2021
Volkswagen PH Explains Why We Got The T6.1 Multivan Kombi Instead Of The T7 On the surface, it seemed like Filipino buyers were getting the short end of the stick, but Volkswagen Philippines explains that there’s a reason for this. Volkswagen Philippines’ Product Strategy and Planning Head Josh Altarejos says that the German automaker is globally refocusing their MPV strategy using three basic pillars: the ID.BUZZ which will be their all-electric offering, the all-new T7 Multivan which is n...