Biggest News Aggregation in the World
📰 Carousel Constructor Plugins News

Page 163 - Carousel Constructor Plugins News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.

Grealish awaliza mashabiki wa Aston Villa

Grealish awaliza mashabiki wa Aston Villa Grealish awaliza mashabiki wa Aston Villa   Kocha wa klabu ya Aston Villa, Dean Smith amethibitisha kuwa nahodha na kiungo wake tegemezi Jack Grealish ataendelea kuwa nje ya uwanja wa zaidi ya wiki mbili baada ya kupata maumivu mengine ya nyama za paja akiwa kwenye harakati za kujiuguza na kupona kurejea uwanjani.   Smith amesema “Mimi na Jack tuliamini atarejea hivi karibuni lakini amepata maumivu ya nyama za paja ambayo yatamfanya azidi kuwa n...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Amazon union vote count set to begin - EXCELSIO | News & Information

Amazon union vote count set to begin Amazon union vote count set to begin April 08, 2021 Share To: Regulators are expected to start tallying votes in a landmark union election on whether workers at Amazon’s Alabama facility will join the RWDSU and have their warehouse become the first unionized Amazon facility in the U.S. Share
Animationend Msanimationend Michael Haszprunar Gian Carlo Mingati Plugins Autoheight Scott Waye Width Default

Taasisi na Wizara zilizofanya malipo nje ya bajeti

Taasisi na Wizara zilizofanya malipo nje ya bajeti Taasisi na Wizara zilizofanya malipo nje ya bajeti   Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere leo Aprili 8, 2021 ameisoma ripoti yake ya mwaka wa fedha 2020/21 mbele ya waandishi wa habari jijini Dodoma.   Katika ripoti yake hiyo ambayo Machi 28, 2021 aliikabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amebainisha kuwepo kwa malipo yaliyofanywa nje ya bajeti na taasisi mbalimbali zik...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

Misri yagundua mji uliokuepo miaka 3,000 iliyopita

Misri yagundua mji uliokuepo miaka 3,000 iliyopita Misri yagundua mji uliokuepo miaka 3,000 iliyopita Wataalamu wa historia ya nchini Misri wamefanya ugunduzi wa kushangaza wa mji ambao ulikuepo zaidi ya miaka 3,400 wakati wa muda wa farao. Uzinduzi huo umetajwa kuwa muhimu tangu kugunduliwa kwa kaburi la kale la Tutankhamun. Wana akiolojia hao ambao walikuwa wakitafuta hekalu katika eneo la jangwa karibu na mji wa Luxor. Lakini wakaanza kugundua jambo lingine, ukuta wa nyumba ambazo zilionekan...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia

Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia Mwanamfalme Philip, mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Tangazo kutoka Kasri ya Buckingham linaeleza: "Ni kwa masikitiko makubwa, Malkia ametangaza kifo cha mumewe mpenzi, Mwanamfalme Philip, Duke (Mtawala) wa Edinburgh." Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anasema ni "kwa huzuni kubwa" kupokea habari za kifo cha Mwanamfalme Philip kutoka...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Yanga: Tunapindua Meza, Tulieni

Yanga: Tunapindua Meza, Tulieni UONGOZI wa Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na benchi la ufundi la timu hiyo, umeandaa mikakati mizito ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ili washiriki michuano ya kimataifa kwa nguvu zao wenyewe na siyo kubebwa.   Ipo hivi, Tanzania itatoa timu nne katika ushiriki wa michuano ya kimataifa baada ya kufanikiwa kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.   Yanga huenda itakuwa kati ya timu hizo zitakazoshiriki michuano ya kimataifa hata kama ikikosa ubingwa...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Profesa Muhongo: Umeme wa Maji ni Kujidanganya

Profesa Muhongo: Umeme wa Maji ni Kujidanganya Profesa Muhongo: Umeme wa Maji ni Kujidanganya Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.     Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma.     Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawa...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

IGP Sirro aagiza operesheni dawa za kulevya

IGP Sirro aagiza operesheni dawa za kulevya IGP Sirro aagiza operesheni dawa za kulevya   Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, Tanga, Pemba pamoja na Unguja kisiwani Zanzibar kufanya operesheni ya pamoja kudhibiti makosa ya dawa za kulevya. IGP Sirro ametoa maagizo hayo leo akiwa kisiwani Zanzibar ambapo amesema katika kipindi cha miezi mitatu makosa ya jinai yamepungua kwa asilimia 19.1 huku ya usalama bara...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science