vimarsana.com

Page 297 - Carousel Constructor Plugins News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Mwanariadha wa Kenya aondolewa nje michuano ya Olimpiki

Mwanariadha wa Kenya aondolewa nje michuano ya Olimpiki
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Vituo 15 Vitakavyotumika Kutoa Chanjo Dar

HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo ya COVID19 jana Julai 28, 2021 kwa yeye na viongozi wengine kuchomwa, wizara ya afya imetangaza utaratibu wa kutoa chanjo hiyo kwa wananchi. Hata hivyo wizara imeeleza kuwa awamu ya kwanza ya utoaji wa chanjo unalenga kundi la watoa huduma za afya katika vituo vyote vilivyopo mkoa wa Dar es Salaam, na zoezi litafanyika katika vituo 15. Kufanikisha zoezi hilo wizara imewaagiza waganga wakuu wa halmashauri kuwasajili watumishi wa afya walio tayari kwa hiari waweze kuchanjwa. Taarifa za mtumishi zinatakiwa kuonesha jina, cheo cha muundo na kama ana magonjwa mengine ya kudumu.

Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19

HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu wanaopinga kuchanjwa. Rais wa Marekani Joe Biden amewashauri viongozi wa majimbo na miji yote nchini humo kuwalipa wakazi wao dola 100 ili wapigwe chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Aidha ameweka sheria mpya zinazohitaji wafanyakazi wote wa serikali kuonyesha uthibitisho wa kupigwa chanjo au kulazimika kupimwa ugonjwa huo mara kwa mara, kuvaa barakoa pamoja na kuwekewa vikwazo vya kusafiri. Hatua hizo za hivi karibuni ni miongoni mwa juhudi za Biden kujaribu kuwahamasisha Wamarekani wenye kupiga chanjo, huku aina mpya ya virusi vya corona iitwayo Delta ikiwa inaenea kote nchini humo, hasa miongoni mwa watu ambao bado hawakuchanjwa.

Hawa Hapa Ndio Wachezaji Wapya WALIOSAJILIWA na Yanga Mpaka sasa Hajibu Ndani

1. Ibrahim Ajibu - Kutoka Simba 2. Fiston Mayele - Kutoka AS Vita 3. Djuma Shabaan - Kutoka AS Vita 4. Herritier Makambo - Kutoka Horoya AC 5. Yakubu Mohammed- Kutoka Azam FC 6. Eric Johora - Kutoka Agle Noir 7. Dickson Ambundo - Kutoka Dodoma Jiji 8. David Bryson - Kutoka KMC .

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.