Tanzania-Uganda: Ramani ya Afrika mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Amin angeshinda vita vya Kagera
Tanzania-Uganda: Ramani ya Afrika mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Amin angeshinda vita vya Kagera Saa 8 zilizopita Chanzo cha picha, TANZANIAGOV Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979. Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha tunakupakulia kumbukumbu za chanzo na matokeo ya ...
Jomo Kenyatta South East Kagera Minutes Tanzania October Host Uganda Lieutenant Colonel Colonel Abdu
Source: bbc.com