Lionel Messi:Rekodi yake inasoma kama nyota isiyopungua mwanga
Lionel Messi:Rekodi yake inasoma kama nyota isiyopungua mwanga Saa 7 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Ni mchezaji mpole na makali yake yamefahamika kudhihirika pindi anapojitosa uwanjani.Ni miongoni mwa wachezaji wanaotambulika sana kote dunia na isitoshe amesalia katika klabu moja tangu alipoanza kucheza-Barcelona . Jina lake ni Lionel Andrรฉs Messi au Leo Messi, na alizalia Juni tarehe 24 mwaka wa 1987 .Ni Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na anazingatiwa kuwa mojawapo ya wac...
Source: bbc.com