Je, tutarajie nini katika Baraza jipya la Mawaziri wa Rais Magufuli?
Rais Magufuli anakabiliwa na kibarua cha kukidhi matarajio ya kutimiza ahadi katika sekta za Afya, elimu, kilimo, uchumi, miundombinu, kubadili taswira hasi ya serikali, pamoja na ushirikiano miongoni mwa mawaziri.
Dar Es Salaam Sospeter Muhongo Authoritya Tags Of Nation Authoritya Income Sexa Development Council New Cabinet
Source: bbc.com