vimarsana.com

Latest Breaking News On - Nations myanmar - Page 1 : vimarsana.com

Umoja wa Mataifa waikosoa Myanmar kuhusu demokrasia | NRS-Import | DW

Umoja wa Mataifa waikosoa Myanmar kuhusu demokrasia Umoja wa Mataifa umeukosoa uamuzi wa utawala wa Myanmar kuchelewesha uchaguzi na kurefusha utawala wa hali ya dharura ukisema ni hatua inayokwenda kinyume na miito ya kimataifa kutaka nchi hiyo irejeshe demokrasia. Baada ya mtawala wa kijeshi wa Myanmar Min Aung Hlang kujitangaza kuwa waziri mkuu siku ya Jumapili na kusema ataiongoza nchi wakati wa kipindi cha utawala wa hali ya dharura kilichorefushwa hadi uchaguzi utakapofanyika katika kipindi cha takriban miaka miwili, Stephane Dujarric, msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Umoja wa Mataifa, amesema uamuzi huo ni kinyume kabisa na yale ambayo wamekuwa wakiyataka kwamba nchi hiyo irejee katika utawala wa kidemokrasia, wafungwa wote wa kisiasa waachiwe huru, machafuko yasitishwe na ukandamizaji ukome.

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.