Jovenel Moïse: Mjane wa rais wa Haiti azungumza kwa mara ya kwanza
Jovenel Moïse: Mwili wa rais wa Haiti ulichanika kwa kumiminiwa risasi nyingi-mkewe asema Saa 8 zilizopita Chanzo cha picha, Martine Moise/TWITTER Mjane aliyejeruhiwa wa rais wa Haiti ameelezea wakati wauaji "walipommiminia risasi" mumewe baada ya kupenya na kuingia nyumbani kwao katikati ya usiku. Martine Moïse alisema shambulio hilo lilitokea haraka sana, mumewe Jovenel hakuweza "kusema hata neno moja". Rais Moïse aliuawa mnamo Julai 7, ikidaiwa na mamluki 28 wa kigeni. Bi Moïse pia alij...
Martine Moise Call Steven Center Constitution States Parliament President Moise Judge Clement Who The Call
Source: bbc.com