vimarsana.com

Latest Breaking News On - Oaswahili - Page 1 : vimarsana.com

Misri na Marekani zakubaliana kuimarishwa uchaguzi wa Libya

Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Misri mjini Cairo, inaeleza kwamba Rais el-Sisi na Sullivan walizungumzia pia suala la ujenzi wa Ukanda wa Gaza, mvutano kuhusu bwawa la Ethiopia kwenye mto wa Blue Nile Gerd uhusiano kati ya Marekani na Misri na hali nchini Tunisia Yemen na Iraq. 

Saudi-arabia
Egypt
South-north
Shabari
Afrika
Goa
Oaswahili
Ais
Eisri
Abdel-fattah-el-sisi
Shauri

Ramaphosa aidhinisha kutolewa ripoti ya kashfa ya COVID

Uchunguzi huo umegundua kwamba mkataba uliotolewa kwa kampuni ya Digital Vibes haukuwa sahihi na maafisa wa juu wamefaidika kutokana na baadhi ya pesa zilizolipwa na kampuni hiyo.

Ministriesa-health
New-july
Director-head
Shabari
Afrika
Afrika-kusini
Goa
Oaswahili
Ais
Cyril-ramaphosa
Ashfa

Gazeti la Raia Mwema,Tanzania lasimamishwa kwa siku 30

Serikali ya Tanzania Jumapili imesimamisha uchapishaji wa gazeti moja la kibinafsi kwa siku 30, baada ya kumhusisha mtu mwenye silaha, aliyetajwa na maafisa wa usalama kama“gaidi” ambaye aliua watu wanne, na chama tawala cha nchi hiyo.

Tanzania
Magazine-citizens-the-sequel
Yet-friday
Gazette-citizens-the-sequel
Samia-conclusion
Not-laid
Shabari
Afrika
Tanzania
Goa
Oaswahili

Wanafunzi milioni 15 Uganda wana fursa finyu kielimu kufuatia COVID-19

Serikali iko katika shinikizo la kufungua tena shule, kwanza, kwa sababu za kielimu, lakini pia ikizingatia madhara ya kiuchumi ya kufunga shule za wamiliki binafsi ambao wanakabiliwa na hatari ya mali zao kuuzwa ili waweze kulipa mikopo ya benki, limeandika gazeti la The East African, Jumapili.

Nairobi
Nairobi-area
Kenya
Uganda
Communitya-nationala-institutions
Yet-school
Kenya-october
Shabari
Uganda
Goa
Oaswahili

Marekani : Kimbunga Ida chaongezeka kasi na kinatarajiwa kutua Louisiana

Mapema Jumapili, Idara hiyo imeeleza kuwa Ida “kimeendelea kuongezeka kasi kwa haraka” na kilikuwa kinaenda kwa upepo wenye nguvu ya juu kabisa wa kilomita 215 kwa saa.

Mexico
Department-it-states
Early-sunday
Hurricane-landing
Shabari
Bunia
Goa
Oaswahili
Florida
Alabama
Qatari

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.