Biggest News Aggregation in the World
📰 Plugins Autoheight News

Page 151 - Plugins Autoheight News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Plugins Autoheight. Real-time updates on events, politics, business and more.

Azam FC Wakataa Kumuachia Dube

Azam FC Wakataa Kumuachia Dube Azam FC Wakataa Kumuachia Dube UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa hawapo tayari kumuuza staa wao, Mzimbabwe, Prince Dube, kwenda Simba na badala yake ataendelea kubaki kikosini kwao.   Hiyo ikiwa ni siku chache tangu ziwepo tetesi za Simba kuwa kwenye mipango ya kumnasa mshambuliaji huyo anayeongoza kwa mabao Ligi Kuu Bara akiwa amepachika 12.   Taarifa zilizopo kwa sasa ni kwamba, hivi karibuni mshambuliaji huyo ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumi...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Brian Simba Afungasha Virago Lebo ya Vanessa Mdee

  Rapa aliyekuwa anamilikiwa na rekodi lebo ya Mdee Music chini ya msanii Vanessa Mdee aitwaye Brian Simba, amesema amemaliza mkataba wa kusimamiwa na lebo hiyo na hivi sasa yupo huru kufanya kazi zake mwenyewe. Brian Simba amesema anamshukuru sana Vanessa Mdee kufanya nae kazo kwani amempa uzoefu mpya kwenye upande wa muziki pia amemfanya kuzunguka mikoa na nchi mbalimbali. "Masomo hayajanirudisha nyuma yamenipa exposure mpya kwenye maisha, kufanya kazi na Vanessa Mdee ilinisaidia vitu vingi ...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Shamsa Ford Amchana Tena Rose Ndauka 'Kuimba Hujui Dada, Sauti Kama Umemeza Jiwe la Moto' Kurap Muachie Rosa Ree

Ameandika Haya Shamsa ford Kumponda Rose Ndauka: Bora ukweli unaouma kuliko uongo unaokufurahisha. Nipige vijembe,kasirika lakini kuimba hujui dada .Yaani sauti kama umemeza jiwe la moto jamani .Ww baki kwenye bongo movie tu huko kwenye kuimba waachie kina Nandy,maua ,zuchu.Na hipop muachie Rosa Ree.Maana nyimbo yako hata hipop yenyewe imeshangaa����Nasikia umetoa nyimbo nyingine inaitwa SNITCH���� .Dada mkavu ww na press ukaita kuzindua nyimbo hata uoga ����.Poleni waan...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

DJ Seven: Harmonize kwa sasa ndio msanii namba moja Tanzania, ndio wakati wake

DJ Seven: Harmonize kwa sasa ndio msanii namba moja Tanzania, ndio wakati wake Akiongea na @el_mando_tz DJ wa @harmonize_tz @djsevenworldwide ameeleza kuwa watu wengi walikuwa hawaamini ukubwa wa Harmonize ila sasa wameanza kukubali, Harmonize ndio msanii pekee Tanznaia anayeweza kuandika wimbo kwa lugha mbili na ukapenbdwa kwa Kiingereza na Kiswahili. Sukari ya @officialzuchu ni ngoma kali sana hata Jeje ya @diamondplatnumz lakini pia kuna baadhi ya ngoma kwenye Album ya @mbosso_ , sisikiliza...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

Waziri Gwagima Apiga Marufuku Akina Mama Kuuziwa Kadi Za Kliniki

Waziri Gwagima Apiga Marufuku Akina Mama Kuuziwa Kadi Za Kliniki Waziri Gwagima Apiga Marufuku Akina Mama Kuuziwa Kadi Za Kliniki Na.WAMJW-Morogoro Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima   amepiga  marufuku utaratibu wa kuwauzia kadi za kliniki akina mama wajawazito pamoja na zile za watoto baada ya kuzaliwa wanapopelekwa kliniki za chanjo  kwani ni kinyume  na mwongozo wa serikali. Dkt. Gwajima Aliyasema hayo jana mjini Morogoro alipokuwa akiongea...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Zingatieni Uhalisia, Hatutaki Bili Kichefuchefu Za Kuumiza Wananchi- Aweso

Zingatieni Uhalisia, Hatutaki Bili Kichefuchefu Za Kuumiza Wananchi- Aweso Zingatieni Uhalisia, Hatutaki Bili Kichefuchefu Za Kuumiza Wananchi- Aweso Na Mohamed Saif WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amezitaka Mamlaka za Maji kote nchini kuacha mara moja kuwapa malengo ya makusanyo yasiyo na uhalisia wasomamita wake ili kuepuka ankara (bili) bambikizi. Aweso ameelekeza hayo hivi karibuni wakati wa ziara yake ya siku moja kwenye ujenzi wa miradi ya maji kwenye Wilaya za Nyamagana na Ilemela Mkoani Mwa...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Vyombo Vya Habari Vyatakiwa kuwa Mstari Wa Mbele Kufichua Ukatili Kwa Wazee

Vyombo Vya Habari Vyatakiwa kuwa Mstari Wa Mbele Kufichua Ukatili Kwa Wazee Vyombo Vya Habari Vyatakiwa kuwa Mstari Wa Mbele Kufichua Ukatili Kwa Wazee Na Catherine Sungura-WAMJW-Dodoma Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa mstari wa mbele kusaidia kufichua uovu na pia kuelemisha jamii kuondokana na mila potofu zinazosababisha vitendo vya ukatili kwa Wazee na wote wasio na hatia. Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Mayweather kuzipiga na Logan Paul

Mayweather kuzipiga na Logan Paul Mayweather kuzipiga na Logan Paul Mwanamasumbwi machachari raia wa Marekani, Floyd Mayweather a.k.a ‘Money’ amethibitisha rasmi pambano lake dhidi ya Logan Paul litapigwa siku ya Jumapili ya Juni 6  huko Hard Rock Arena Miami. Bingwa huyo wa dunia, ‘Money’ pambano lake la mwisho ambalo linatambulika katika masumbwi ni lile la mwezi Agosti 2017 alipomkalisja mkali wa UFC, Conor McGregor raundi 10. Mayweather pia alionekana kwenye pambano lisilo rasmi dh...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science