Fahamu kwanini Wanajeshi wa Marekani waliomboleza kifo cha Saddam Hussein
Wanajeshi kumi na wawili waliokuwa wametumwa kumlinda Saddam Hussein hawakuwa marafiki tu marafiki bora zaidi wa Saddam Hussein bali pia marafiki zake wa mwisho aliokuwa nao
Source: bbc.com