Mashambulio ya mabomu ya 1998: Kenya imelipia gharama ya juu ya maisha katika vita dhidi ya Ugaidi?
Miaka 23 iliyopita mwezi kama huu tarehe saba, mashambulizi mawili ya kigaidi yaliotekelezwa kwa wakati mmoja yaliikumba Miji ya Nairobi, Kenya na Dar Es Salaam Tanzania.
Source: bbc.com