Biggest News Aggregation in the World
📰 Timezone Four News

Timezone Four News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Timezone Four. Real-time updates on events, politics, business and more.

Mkuu wa Upelelezi Aanza KUTOA Ushahidi Kesi ya Sabaya

HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Wilaya ya Arusha ASP Gwakisa Minga ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi ya jinai 105/2021 inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjrao Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili kesi ambayo inanguruma katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha. ASP GWAKISA anakuwa ni shahidi wa saba kwa upande wa mashtaka baada ya shahidi wa sita Bakari Msangi ushahidi wake kufungwa ikiwa umechukua siku sita kutokana na ku...
Bakari Msangi Night As Center Details Police A Center Alive Province Alas Date New

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science