Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Add Strong News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Add Strong. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Add Strong Today - Breaking & Trending Today

Afia Gesti kwa Kunywa Vidonge vya Kuongeza Nguvu za Kiume - Vimarsana News

Afia Gesti kwa Kunywa Vidonge vya Kuongeza Nguvu za Kiume

HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Fredrick Opiyo mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Rurago kaunti ya Muranga nchini Kenya huku kifo chake kikileta utata.   Ripoti ya polisi imesema kuwa huenda jamaa huyo alimeza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume kupita kiasi. Mlinzi wa gesti hiyo alitoa taarifa katika Kituo cha Polisi cha Maragua baada ya mpenzi wa jamaa huyo waliyekuwa naye kumfahamisha kuhusu kifo cha mwanaume aliyekuwa naye chumbani.   Mary Mwende alisema mpenzi wake Fredrick Opiyo alikuwa ame...