Baba Gerezani: Mbegu za kiume zinapitishwa kisiri kutoka Jela Israel hadi Palestina kutumiwa kuwapandikiza mimba wanawake ambao waume zao wapo gerezani
Licha ya kuwa walikuwa wafungwa ,waliendelea kupata watoto na wake zao wambao wapo katika eneo la Wapalestina la Gaza na West Bank sehemu zinazokaliwa na waisraeli.