Ufaransa kumaliza shughuli za kijeshi katika eneo la Sahel | Matukio ya Kisiasa | DW
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametangaza kwamba operesheni za kijeshi za taifa hilo katika mapambano dhidi ya wanamgambo walio na itikadi kali katika ukanda wa Sahel zinafikia mwisho
Source: dw.com