Raia wa Haiti waelezea hasira zao kuhusiana na ukosefu wa msaada kutoka kwa serikali | Matukio ya Kisiasa | DW
Raia wa Haiti walioachwa bila makazi kufuatia tetemeko kubwa la ardhi wameelezea hasira zao kuhusiana na ukosefu wa msaada kutoka kwa serikali huku wakilala nje kwa siku ya nne mfululizo.
Source: dw.com