Tetemeko la ardhi limewauwa zaidi ya watu 1200 Haiti | Matukio ya Kisiasa | DW
Idadi ya waliokufa katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Haiti imepanda na kufikia zaidi ya watu 1,200. Waokoaji wanaendelea kuchimba chini ya vifusi vya majengo yaliyoporomoka kutafuta manusura.
Source: dw.com