Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Call Moise News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Call Moise. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Call Moise Today - Breaking & Trending Today

Usalama wa rais:Wafahamu marais ambao wameponea kuuawa katika siku za hivi karibuni - Vimarsana News

Usalama wa rais:Wafahamu marais ambao wameponea kuuawa katika siku za hivi karibuni

Usalama wa rais:Wafahamu marais ambao wameponea kuuawa katika siku za hivi karibuni 26 Julai 2021, 05:53 EAT Chanzo cha picha, Reuters Usalama wa rais wa nchi yoyote huwa suala muhimu ambalo huchukua raslimali nyingi na mipango ya muda mrefu ili kuto hakikisho kwa umma kwamba kiongozi wan chi yuko salama . Hata hivyo pametokea visa vya marais kuuawa wakiwa madarakani na hata wengine kuponea kupitia majaribio ya kuwaua wakiwa wangali madarakani Hivi Karibuni-tarehe 20 mwezi Aprili mwaka huu , Afrika na ulimwengui ilipokea Habari za kutisha na za ghafla kwamba rais wa Chad Idriss Deby aliua...

Source: bbc.com