Msaada wawasili kwa wingi kwa wahanga wa tetemeko Haiti | IDHAA YA KISWAHILI | DW
Msaada umeanza kuwasili kwa wingi kwa wahanga wa janga la Tetemeko la Ardhi lililoikumba Haiti lakini hali duni ya miundombinu nchini humo bado inatatiza zoezi hilo kuwafikia watu wengi waliathirika.
Source: dw.com