Carousel Constructor News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Carousel constructor. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Carousel Constructor Today - Breaking & Trending Today

Mil 600 Zatengwa Simba Kuimaliza AS Vita


Mil 600 Zatengwa Simba Kuimaliza AS Vita
Mil 600 Zatengwa Simba Kuimaliza AS Vita
UNAAMBIWA Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameamua kuichukulia mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita kama fainali na kuna mzigo ambao umetengwa.
 
Taarifa za ndani zinadai kuwa hadi kufikia sasa kuna mamilioni ya fedha yametumika na mengine yatatumika ambapo jumla ni shilingi milioni 600 ili kuongeza motisha kwa wachezaji na benchi la ufundi kama watafanikiwa kuvuna pointi tatu.
 
Jioni ya Jumamosi, Simba inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, kuwakabili AS Vita Club ya DR Congo kwenye mchezo wa marudio ikiwa na kumbukumbu ya kuvuna pointi tatu kwenye mechi ya kwanza ya ugenini. ....

Plugins Autoheight , Width Default , Width Inner , Width Outer , Carousel Constructor Plugins , Carousel Constructor , அகலம் இயல்புநிலை , அகலம் உள் , அகலம் ஔடர் , கொணர்வி கான்ஸ்ட்ருக்டர் ,