Wajerumani wanasubiri kwa hamu kubwa serikali mpya ya muungano | Matukio ya Kisiasa | DW
Wajerumani wanasubiri kwa hamu kujua ni chama gani kitakachounda serikali ijayo ya muungano baada ya uchaguzi wa siku ya Jumapili ambapo chama cha sera za wastani za mrengo wa kushoto, SPD kilipata ushindi mwembamba.