Live Breaking News & Updates on Doctors Myanmar

Stay updated with breaking news from Doctors myanmar. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Madkatari wakamatwa Myanmar


Madkatari wakamatwa Myanmar
Shirikisha
Print
Jeshi la Myanmar limewakamata na kuwazuia madaktari kadhaa kutokana na kuunga mkono maandamano ya kupinga utawala wa  kijeshi ulilochukua madaraka. 
Wengi waliozuiliwa wanasemekana kuwa na kliniki binafsi ambako wanasaidia kwenye juhudi za kutibu wagonjwa wa corona, wakati taifa hilo likikabiliana na wimbi jipya la maambukizi.
Tangu jeshi lilipofanya mapinduzi dhidi ya utawala wa kiongozi wa kiraiya Aung San Suu Kyi mwezi Februari. Ghasia na maandamano yaliyofuata yameathiri vita dhidi ya corona, wakati wanaharakati wakisema kuwa madaktari waliokamatwa ni kutokana na kupinga mapinduzi hayo.
Alhamisi Myanmar imetangaza visa vipya 6,000 vya corona baada ya kuripoti vifo 286 hapo awali. Wauguzi pamoja na wafanyakazi wa vyumba vya kuhifadhia maiti wanasema kuwa idadi hiyo huenda ikawa kubwa zaidi kwa kuwa maeneo ya kuchoma miili yameelemewa. ....

Doctors Myanmar , New February , Thursday Myanmar , புதியது பிப்ரவரி , வியாழன் மியான்மர் ,

Врачи Мьянмы присоединились к сопротивлению военной диктатуре. Они угрожают прекратить работу, что усугубит ситуацию с коронавирусом

Врачи Мьянмы присоединились к сопротивлению военной диктатуре. Они угрожают прекратить работу, что усугубит ситуацию с коронавирусом
zik.ua - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from zik.ua Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Hong Kong , Southeast Asia , Su Zhi , Doctors Myanmar , They Are , Work Stoppage , Medical Workers , Not Note , ஹாங் காங் , தென்கிழக்கு ஆசியா , சு ழி , அவர்கள் உள்ளன , வேலை நிறுத்தம் , மருத்துவ தொழிலாளர்கள் ,