Siku 100 za Rais Samia Sulu: Zama zinarejea lakini Katiba Mpya ni mfupa mgumu kwa Samia
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa wanakosoa hadharani baadhi ya kasoro na makosa yaliyokuwa yakifanywa na serikali wakati wa utawala wa Rais John Magufuli ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama tawala.
Source: bbc.com