Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Issues Her News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Issues Her. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Issues Her Today - Breaking & Trending Today

Lionel Messi:Rekodi yake inasoma kama nyota isiyopungua mwanga - Vimarsana News

Lionel Messi:Rekodi yake inasoma kama nyota isiyopungua mwanga

Lionel Messi:Rekodi yake inasoma kama nyota isiyopungua mwanga Saa 7 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Ni mchezaji mpole na makali yake yamefahamika kudhihirika pindi anapojitosa uwanjani.Ni miongoni mwa wachezaji wanaotambulika sana kote dunia na isitoshe amesalia katika klabu moja tangu alipoanza kucheza-Barcelona . Jina lake ni Lionel Andrés Messi au Leo Messi, na alizalia Juni tarehe 24 mwaka wa 1987 .Ni Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na anazingatiwa kuwa mojawapo ya wachezaji bora wa nyakati zote . Messi ameshinda tuzo za Ballon d'Or mara sita . Katika muda wake wot...

Source: bbc.com