Xi na Putin kukutana katika mkutano wa SCO, Uzbekistan | Matukio ya Kisiasa | DW
Rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin wapo, Uzbekistan kwa mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) iliyoundwa na China na Moscow kupambana na ushawishi wa Marekani duniani.
Source: dw.com