Diego Maradona:Picha ya Maradona huenda ikachapishwa kwenye pesa ya Argentina
Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 noti ya juu zaidi nchini mwake.
Source: bbc.com