Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Province Fallow News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Province Fallow. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Province Fallow Today - Breaking & Trending Today

Unaambiwa Mbunge wa CCM aliyejiuzulu afunguka Makubwa - Vimarsana News

Unaambiwa Mbunge wa CCM aliyejiuzulu afunguka Makubwa

Mbunge aliyejiuzulu afunguka TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa Jimbo la Konde visiwani Zanzibar lipo wazi na taratibu za kujaza nafasi hiyo zitatangazwa hivi karibuni. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Dk Wilson Mahera kupitia taarifa yake kwa umma jana. Dk Mahera alisema NEC ilipokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikitaarifa kuwa, Mbunge Mteule wa Jimbo la Konde, Sheha Mpemba Faki, alikitaarifu chama hicho kuwa hayupo tayari kuwawakilisha wananchi wa Jimbo la Konde kutokana na changamoto za kifamilia. Alisema kutokana na hilo, NEC inaut...