Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Page 2 - Replacement Her News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Replacement Her. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Replacement Her Today - Breaking & Trending Today

Euro 2020: Italia yauwa ndoto za England Wembley | Michezo | DW - Vimarsana News

Euro 2020: Italia yauwa ndoto za England Wembley | Michezo | DW

Euro 2020: Italia yauwa ndoto za England Wembley Baada ya kipindi cha karibu mwezi mmoja, mabao 145 ikiwa ni idadi kubwa zaidi ambayo tumewahi kushuhudia katika mashindano ya Ulaya, tamasha la euro 2020 limefikia tamati kwa Italia, kutwaa ubingwa Hadithi ya ukombozi wa kandanda la Italia imekamilika. Subira yenye uchungu ya nusu karne kwa England kushinda taji kubwa inaendelea. Na ni kwa sababu ya mikwaju ya penalti. Italia wameshinda Kombe la Ulaya – Euro 2020 kwa mara ya pili baada ya kuwafunga England 3 -2 kwa mikwaju ya penati jana usiku. Mechi ilimalizika 1-1 baada ya muda wa ziada dim...

Source: dw.com
Je ungependa kwenda anga ya mbali? Nauli ni dola milioni 28 - Vimarsana News

Je ungependa kwenda anga ya mbali? Nauli ni dola milioni 28

Je ungependa kwenda anga ya mbali? Nauli ni dola milioni 28 Saa 6 zilizopita Maelezo ya picha, Jeff Bezos (pichani), kaka yake Mark, na mshindi wa mnada na mtalii mwingine ambaye hajatangazwa wataunda vikosi vinne vya kwenda navyo safari ya Julai 20 Mzabuni ambaye jina lake halijafahamika amelipia dola milioni 28 kwa ajili ya kupata kiti katika chombo cha anga cha Blue Origin kinachomilikiwa na muasisi wa kampuni ya mtandaoni ya Amazon. Mshindi aliyeshinda mnada huo siku ya Jumamosi , hakutajwa jina bali kampuni ya Blue Origin iliandika kwenye kurasa ya tweet kuwa itamtangaza hivi karibuni. ...

Source: bbc.com
Jinsi watu wa jamii ya Igbo wanavyotumia mfumo wa kibiashara kuwa mabilionea Nigeria - Vimarsana News

Jinsi watu wa jamii ya Igbo wanavyotumia mfumo wa kibiashara kuwa mabilionea Nigeria

Profesa wa Nigeria anafikiria kwamba mfumo huu unapaswa kufunzwa barani Afrika ili kusaidia kututua tatizo la ukosefu wa ajira..

Source: bbc.com