Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Taliban Ongoing News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Taliban Ongoing. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Taliban Ongoing Today - Breaking & Trending Today

Mazungumzo ya Afghanistan yakamalika Doha bila ufumbuzi | Matukio ya Kisiasa | DW - Vimarsana News

Mazungumzo ya Afghanistan yakamalika Doha bila ufumbuzi | Matukio ya Kisiasa | DW

Mazungumzo ya Afghanistan yakamalika Doha bila ufumbuzi Mazungumzo ya karibuni kati ya serikali ya Afghanistan na Taliban mjini Doha yamemalizika bila mafanikio hata baada ya kiongozi mkuu wa wanamgambo hao wa itikadi kali kusema anaunga mkono kwa dhati suluhisho la kisiasa Wawakilishi waandamizi wa serikali ya Kabul akiwemo kiongozi wa Baraza Kuu la Maridhiano ya Kitaifa Abdullah Abdullah walikuwa Doha kwa siku mbili za mazungumzo mazito wakati Taliban ikiendelea na operesheni yake kali ya kuyakamata maeneo nchini Afghanistan. Abdullah Abdullah alikuwa na kauli fupi tu baada ya mazungumzo ya...

Source: dw.com