Jinsi upasuaji wa kurekebisha maumbile ya mwili unavyoshamiri Uchina licha ya kuwa hatari
Jinsi upasuaji wa kurekebisha maumbile ya mwili unavyoshamiri Uchina licha ya kuwa hatari 17 Julai 2021 Chanzo cha picha, Getty Images Sawa na vijana wa rika yake Ruxin mwenye umri wa miaka 23 huangalia mitandao ya kijamii ya moja kwa moja kila siku, lakini anaangalia mkitu maalum- ''updates'' ama taarifa za hivi karibuni kabisa za upasuaji wa kubadilisha au kurekebisha maumbile ya mwili. Ruxin anapanga kufanyiwa upasuaji utakaompa muonekano wa "kope mbili" ambapo upasuaji huo utamuongezea kope, akiwa na matumaini kwamba utayafanya macho yake kuonekana makubwa zaidi. Mkaaji huyu ...