Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Timezone Four News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Timezone Four. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Timezone Four Today - Breaking & Trending Today

Mkuu wa Upelelezi Aanza KUTOA Ushahidi Kesi ya Sabaya - Vimarsana News

Mkuu wa Upelelezi Aanza KUTOA Ushahidi Kesi ya Sabaya

HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Wilaya ya Arusha ASP Gwakisa Minga ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi ya jinai 105/2021 inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjrao Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili kesi ambayo inanguruma katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha. ASP GWAKISA anakuwa ni shahidi wa saba kwa upande wa mashtaka baada ya shahidi wa sita Bakari Msangi ushahidi wake kufungwa ikiwa umechukua siku sita kutokana na kuibuka mvutano wa hoja ya kuwasilishwa ama kutowasilishwa kwa nyaraka ya Maelezo alivyoandikisha Poli...