Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Zuma Start News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Zuma Start. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Zuma Start Today - Breaking & Trending Today

Watu 212 wamekufa kwenye ghasia Afrika Kusini | IDHAA YA KISWAHILI | DW - Vimarsana News

Watu 212 wamekufa kwenye ghasia Afrika Kusini | IDHAA YA KISWAHILI | DW

Watu 212 wamekufa kwenye ghasia Afrika Kusini Idadi ya waliokufa kutokana na ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia watu 212 kutoka vifo 117 vilivyoripotiwa siku iliyopita. Waziri wa nchi katika ofisi ya rais, Khumbudzo Ntshavheni, ameuambia waandishi habari kuwa vifo vipya vimetokea katika jimbo la kusini mashariki la KwaZulu-Natal ambalo ndiyo kitovu cha machafuko yanayoshuhudiwa. Hata hivyo kiongozi huyo amesema hali ya utulivu imeanza kurejea na hadi sasa zaidi ya watu 2,500 wamekamatwa kutokana na vurugu za karibu wiki nzima zilizohusisha uporaji wa mali na uchoma...

Source: dw.com
Kerusuhan Mematikan Berlanjut di Afrika Selatan - Vimarsana News

Kerusuhan Mematikan Berlanjut di Afrika Selatan

Kerusuhan Mematikan Berlanjut di Afrika Selatan 15/07/2021 Seorang tentara berjalan sambil memeriksa kerusakan di mal Jabulani yang dijarah massa, saat pemerintah Afrika Selatan mengerahkan militer untuk mengatasi kerusuhan terkait dengan pemenjaraan mantan Presiden Jacob Zuma, di Soweto, Afsel, 13 Juli 2021. (Foto: REUTERS) Teruskan share Print Kerusuhan dan penjarahan di Afrika Selatan, Rabu (14/7), berlanjut, meningkatkan jumlah korban tewas menjadi lebih dari 70 karena pengunjuk rasa yang membangkang, mengabaikan imbauan pemerintah untuk mengakhiri kekerasan. Kerusuhan dipicu pekan lalu, ...

Otoritas Afrika Selatan Tangkap 1.754 Orang Terkait Kerusuhan - Vimarsana News

Otoritas Afrika Selatan Tangkap 1.754 Orang Terkait Kerusuhan

Otoritas Afrika Selatan Tangkap 1.754 Orang Terkait Kerusuhan Diperbarui 15 Jul 2021, 08:30 WIB 17 Protes di Afrika Selatan termasuk terjadi penjarahan. (AFP) Liputan6.com, Johannesburg - Kekerasan dan penjarahan telah terjadi di Afrika Selatan selama enam hari berturut-turut, memicu kekhawatiran kekurangan makanan dan bahan bakar karena gangguan pada pertanian, manufaktur dan penyulingan minyak di tengah kerusuhan terburuk di negara itu dalam beberapa dekade. Dikutip dari laman  Al Jazeera, Kamis (15/7/2021) pasukan keamanan Afrika Selatan telah menangkap 1.754 orang yang terkait dengan pen...

Ghasia zaendelea Afrika kusini - Vimarsana News

Ghasia zaendelea Afrika kusini

Ghasia zaendelea Afrika kusini Shirikisha Print Maduka na maghala nchini Afrika kusini yameporwa Jumanne kwa siku ya tano mfululizo, licha ya hatua ya rais Cyril Ramaphosa kupeleka wanajeshi mitaani ili kuzima kudhibiti hali. Ghasia tayari zimesababisha vifo vya watu 45. Wakati uporaji mkubwa ukifanyika kwenye mji mkuu wa kiuchumi wa Johannesburg pamoja na jimbo la kusini mashariki la KwaZulu Natal. Mzozo umezuka kwenye uwanja wa kisiasa, ambapo wapinzani wakuu wa Afrika kusini wanawashtumu watu wenye msimamo mkali kwa kuchochea ghasia. Wanajeshi elfu 2,500 wamepelekwa kusaidia polisi, waliok...