Afia Gesti kwa Kunywa Vidonge vya Kuongeza Nguvu za Kiume
HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Fredrick Opiyo mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Rurago kaunti ya Muranga nchini Kenya huku kifo chake kikileta utata. Ripoti ya polisi imesema kuwa huenda jamaa huyo alimeza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume kupita kiasi. Mlinzi wa gesti hiyo alitoa taarifa katika Kituo cha Polisi cha Maragua baada ya mpenzi wa jamaa huyo waliyekuwa naye kumfahamisha kuhusu kifo...
Source: udakuspecially.com