📰 Carousel Constructor News
Carousel Constructor News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Carousel Constructor. Real-time updates on events, politics, business and more.
April 3, 2021
Mil 600 Zatengwa Simba Kuimaliza AS Vita Mil 600 Zatengwa Simba Kuimaliza AS Vita UNAAMBIWA Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameamua kuichukulia mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita kama fainali na kuna mzigo ambao umetengwa. Taarifa za ndani zinadai kuwa hadi kufikia sasa kuna mamilioni ya fedha yametumika na mengine yatatumika ambapo jumla ni shilingi milioni 600 ili kuongeza motisha kwa wachezaji na ben...