Biggest News Aggregation in the World
📰 Carousel Constructor Plugins News

Page 153 - Carousel Constructor Plugins News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.

Sheria ya uhujumu uchumi kufumuliwa

Hatua ya Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Tume ya Kurekebisha Sheria kufanyia tathmini sheria sita, ikiwamo ya uhujumu uchumi, imepokelewa kwa furaha na wadau wa sheria ikielezwa kuwa ni kilio cha muda mrefu cha kuondoa sheria kandamizi za muda mrefu. Hatua hiyo imetangazwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi jana, wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/2022, akisema lengo ni kufahamu kama sheria hizo zinaweza kutumika ...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Baadhi ya Mali za Hotel ya Ngurdoto Zauzwa Kulipia Madeni ya Mishahara Milion 129

Baadhi ya Mali za Hotel ya Ngurdoto Zauzwa Kulipia Madeni ya Mishahara Milion 129 Baadhi ya Mali za Hotel ya Ngurdoto Zauzwa Kulipia Madeni ya Mishahara Milion 129   Baadhi ya mali za Hotel ya Kitalii ya Ngurdoto Mountain iliyopo Usa River, Wilayani Arumeru zimetakiwa kupigwa mnada ili kufidia mishahara ya watu 93 waliokuwa Wafanyakazi wa Hoteli ambao wanadai Tsh. Milioni 129 Amri hiyo imetolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Masijala Ndogo ya Kazi. Naibu Msajili wa Mahakama, John Nkwabi ali...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

DC Hai Sabaya: akamata vifaa vya kutoa mimba na kung'oa meno ,alijifanya anafanya biashara ya mpesa

DC Hai Sabaya: akamata vifaa vya kutoa mimba na kung’oa meno ,alijifanya anafanya biashara ya mpesa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama imeongoza operesheni maalumu iliyofanikiwa kupatikana kwa vituo vya Afya Bubu ambavyo awali wamiliki waliendesha maduka yao kana kwamba wanafanyabiashara ya M-pesa/kubadili fedha kwa njia ya Mtandao huku kiuhalisia wanaendesha biashara ya kutibu na kuuza madawa ya binadamu kinyume cha kanuni na Taratibu za Afya. Ole Sabaya ...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

Azam FC Wakataa Kumuachia Dube

Azam FC Wakataa Kumuachia Dube Azam FC Wakataa Kumuachia Dube UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa hawapo tayari kumuuza staa wao, Mzimbabwe, Prince Dube, kwenda Simba na badala yake ataendelea kubaki kikosini kwao.   Hiyo ikiwa ni siku chache tangu ziwepo tetesi za Simba kuwa kwenye mipango ya kumnasa mshambuliaji huyo anayeongoza kwa mabao Ligi Kuu Bara akiwa amepachika 12.   Taarifa zilizopo kwa sasa ni kwamba, hivi karibuni mshambuliaji huyo ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumi...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Brian Simba Afungasha Virago Lebo ya Vanessa Mdee

  Rapa aliyekuwa anamilikiwa na rekodi lebo ya Mdee Music chini ya msanii Vanessa Mdee aitwaye Brian Simba, amesema amemaliza mkataba wa kusimamiwa na lebo hiyo na hivi sasa yupo huru kufanya kazi zake mwenyewe. Brian Simba amesema anamshukuru sana Vanessa Mdee kufanya nae kazo kwani amempa uzoefu mpya kwenye upande wa muziki pia amemfanya kuzunguka mikoa na nchi mbalimbali. "Masomo hayajanirudisha nyuma yamenipa exposure mpya kwenye maisha, kufanya kazi na Vanessa Mdee ilinisaidia vitu vingi ...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Wahuni Waiba Kengele ya Kanisa Yenye Kilo 500

  WATU wasiojulikana wameripotiwa kuiba kengele ya kanisa la Virgin Mary Orthodox lililoko eneo la Limuru kaunti ya Kiambu nchini Kenya ambapo tayari maafisa wa polisi wanaendelea na uchunguzi kuhusu tukio hilo. Kulingana na Katibu wa kanisa la Virgin Mary Ordhodox James Warari alisema genge la wezi lilivamia kanisa hilo Alhamisi, Aprili 22,2021 na kuiba kengele hiyo ambayo inasemekana kuwa na uzito wa kilogramu 500. “Kisa hicho kilitokea Alhamisi Usiku, tuliamka asubuhi na tukagundua kwamba...
Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை அகலம் உள்

Shamsa Ford Amchana Tena Rose Ndauka 'Kuimba Hujui Dada, Sauti Kama Umemeza Jiwe la Moto' Kurap Muachie Rosa Ree

Ameandika Haya Shamsa ford Kumponda Rose Ndauka: Bora ukweli unaouma kuliko uongo unaokufurahisha. Nipige vijembe,kasirika lakini kuimba hujui dada .Yaani sauti kama umemeza jiwe la moto jamani .Ww baki kwenye bongo movie tu huko kwenye kuimba waachie kina Nandy,maua ,zuchu.Na hipop muachie Rosa Ree.Maana nyimbo yako hata hipop yenyewe imeshangaa����Nasikia umetoa nyimbo nyingine inaitwa SNITCH���� .Dada mkavu ww na press ukaita kuzindua nyimbo hata uoga ����.Poleni waan...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science