📰 Carousel Constructor Plugins News
Page 154 - Carousel Constructor Plugins News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.
April 28, 2021
DJ Seven: Harmonize kwa sasa ndio msanii namba moja Tanzania, ndio wakati wake Akiongea na @el_mando_tz DJ wa @harmonize_tz @djsevenworldwide ameeleza kuwa watu wengi walikuwa hawaamini ukubwa wa Harmonize ila sasa wameanza kukubali, Harmonize ndio msanii pekee Tanznaia anayeweza kuandika wimbo kwa lugha mbili na ukapenbdwa kwa Kiingereza na Kiswahili. Sukari ya @officialzuchu ni ngoma kali sana hata Jeje ya @diamondplatnumz lakini pia kuna baadhi ya ngoma kwenye Album ya @mbosso_ , sisikiliza...
April 28, 2021
Waziri Gwagima Apiga Marufuku Akina Mama Kuuziwa Kadi Za Kliniki Waziri Gwagima Apiga Marufuku Akina Mama Kuuziwa Kadi Za Kliniki Na.WAMJW-Morogoro Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amepiga marufuku utaratibu wa kuwauzia kadi za kliniki akina mama wajawazito pamoja na zile za watoto baada ya kuzaliwa wanapopelekwa kliniki za chanjo kwani ni kinyume na mwongozo wa serikali. Dkt. Gwajima Aliyasema hayo jana mjini Morogoro alipokuwa akiongea...
April 28, 2021
Zingatieni Uhalisia, Hatutaki Bili Kichefuchefu Za Kuumiza Wananchi- Aweso Zingatieni Uhalisia, Hatutaki Bili Kichefuchefu Za Kuumiza Wananchi- Aweso Na Mohamed Saif WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amezitaka Mamlaka za Maji kote nchini kuacha mara moja kuwapa malengo ya makusanyo yasiyo na uhalisia wasomamita wake ili kuepuka ankara (bili) bambikizi. Aweso ameelekeza hayo hivi karibuni wakati wa ziara yake ya siku moja kwenye ujenzi wa miradi ya maji kwenye Wilaya za Nyamagana na Ilemela Mkoani Mwa...
April 28, 2021
Vyombo Vya Habari Vyatakiwa kuwa Mstari Wa Mbele Kufichua Ukatili Kwa Wazee Vyombo Vya Habari Vyatakiwa kuwa Mstari Wa Mbele Kufichua Ukatili Kwa Wazee Na Catherine Sungura-WAMJW-Dodoma Vyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa mstari wa mbele kusaidia kufichua uovu na pia kuelemisha jamii kuondokana na mila potofu zinazosababisha vitendo vya ukatili kwa Wazee na wote wasio na hatia. Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima wakati...
April 28, 2021
Mayweather kuzipiga na Logan Paul Mayweather kuzipiga na Logan Paul Mwanamasumbwi machachari raia wa Marekani, Floyd Mayweather a.k.a ‘Money’ amethibitisha rasmi pambano lake dhidi ya Logan Paul litapigwa siku ya Jumapili ya Juni 6 huko Hard Rock Arena Miami. Bingwa huyo wa dunia, ‘Money’ pambano lake la mwisho ambalo linatambulika katika masumbwi ni lile la mwezi Agosti 2017 alipomkalisja mkali wa UFC, Conor McGregor raundi 10. Mayweather pia alionekana kwenye pambano lisilo rasmi dh...
April 28, 2021
April 28, 2021 Googles parent company Alphabet reported record profits for a second straight quarter and a $50 billion dollar buyback of shares.
April 28, 2021
DIAMOND amvuta FOCALISTIC kwenye ALBUM yake mpya, video hii inayowaonesha wakiwa pamoja yawekwa DIAMOND amvuta FOCALISTIC kwenye ALBUM yake mpya, video hii inayowaonesha wakiwa pamoja yawekwa VIDEO: DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
April 27, 2021
Hali ya Mzee King Kikii Bado ni Tete “Nisaidieni” Hali ya Mzee King Kikii Bado ni Tete “Nisaidieni” GLOBAL TV imemtembelea msanii Mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyetamba zaidi na kibao chake cha ‘KITAMBAA CHEUPE’, Mzee King Kiki, ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi ambayo yamemsababishia kukaa nyumbani na kushindwa kuendelea na kazi zake. Unaweza kumchangia fedha kwa ajili ya matibabu kupitia nambari hii ( 0713 50 50 62 au 0757 50 50 62 – JINA COSTANSIA KALANDA) Ta...
April 26, 2021
Soma Habari Mbali Mbali za Udaku, Siasa, Mapenzi na Mengine Mengi Kutoka Tanzania
April 26, 2021
Soma Habari Mbali Mbali za Udaku, Siasa, Mapenzi na Mengine Mengi Kutoka Tanzania