📰 Carousel Constructor Plugins News
Page 156 - Carousel Constructor Plugins News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.
April 24, 2021
Fauci on brief J&J pause, 'breakthrough' infections, and sharing vaccines with the world
April 24, 2021
Breaking: Tani Moja Ya Heroin Yakamatwa Kilwa Masoko Breaking: Tani Moja Ya Heroin Yakamatwa Kilwa Masoko Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha Jeshi la Wananchi (JWTZ) leo Aprili 24, 2021 wamekamata zaidi ya tani moja ya madawa ya kulevya aina ya Heroin. Dawa hizo zimekamatwa eneo la Kilwa Masoko katika Bahari ya Hindi zikisafirishwa kwa kutumia Jahazi la Al Arbo, likiwa na watuhumiwa saba ndani yake. Waliokamatwa ni Jan Mohammad Miran...
April 24, 2021
Wanandoa waliooana mara nne na kuachana mara tatu ndani ya mwezi mmoja Wanandoa waliooana mara nne na kuachana mara tatu ndani ya mwezi mmoja Wanandoa kutoka Taiwan wamekua gumzo hususan katika mitandao ya kijamii baada ya kuoana mara nne katika kipindi cha mwezi mmoja. Hadithi hii ambayo iliwashangaza wengi, ilithibitishwa na Wizara ya kazi ya Taiwan. Makampuni ya Taiwan hutoa siku 8 za mapumziko kwa wanandoa wapya , lakini mfanyakazi mmoja wa benki aliamua kudai siku 32 kwa kuoa mara nne, ...
April 24, 2021
Tanzia: Kifo cha mchezaji wa zamani wa Biashara United Tanzia: Kifo cha mchezaji wa zamani wa Biashara United Kupitia ukurasa wa Instagram wa klabu ya Biashara United wameandika kwamba: Klabu ya BIASHARA UNITED MARA imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mchezaji wetu wa zamani BW. Sospeter Maiga Mandala Hili ni pigo kwa familia ya mpira wa miguu, tunaungana na mashabiki wa Biashara United Mara familia ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu. Tunaomba Mwenyezi Mungu awape subira na...
April 24, 2021
Ragnarok season 2 is coming to Netflix on May 27
April 23, 2021
Azam yabanwa mbavu na Dodoma Azam yabanwa mbavu na Dodoma Klabu ya Azam FC imetoshana nguvu na Dododma jiji FC kwa kutoka sare ya mabao 2-2, katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa katika dimba la Jamuhuri Dododma. Azam FC ndio walikwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Prince Dube dakika ya pili ya mchezo, lakini baadae kipindi cha pili dakika ya 71 Seif Karihe akaisawazishia Dodoma Jijiji na dakika 6 baadae Anuary Jabir akafunga tena bao la pili na kuipa uongozi Dodoma mpaka da...
April 23, 2021
Rais Samia : Tutailea ATCL ili Kuipunguzia Mzigo wa Madeni Rais Samia : Tutailea ATCL ili Kuipunguzia Mzigo wa Madeni Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia namna ya kulilea Shirika la Ndege nchini (ATCL) kimkakati ili lijiendeshe kwa ufanisi. Amesema hilo litafanyika kwa kuangalia uwezekano wa kutoa nafuu wa madeni na baadhi ya kodi na tozo kama inavyofanyika katika nchi nyingine ili liweze kukua na kuweka hesabu zake sawa. Ameeleza hayo Alhamisi Aprili 22, 2021 wakati akilih...
April 23, 2021
Shirika la Posta Tanzania Sasa Kidigitali Zaidi Shirika la Posta Tanzania Sasa Kidigitali Zaidi SHIRIKA la Posta Tanzania limejidhatiti kuboresha huduma zake kidigitali kuendana na mabadiliko makubwa ya teknolojia kote duniani ili kurahisisha huduma zake kwa wateja na kutanua wigo wa soko la huduma hizo. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Aprili 23, 2021, na uongozi wa Shirika hilo chini ya wizara ya teknolojia ya mawasiliano wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari katika makao makuu ya mamlak...
April 23, 2021
Diwani Mluge awaangukia wabunge wanne Diwani Mluge awaangukia wabunge wanne Na Omary Mngindo, Kibaha. DIWANI wa Kata ya Mbwawa Jimbo la Kibaha Mji Mkoa wa Pwani Judith Mluge, amewaomba wabunge wa majimbo ya Bagamoyo, Kibaha Mji, Kibaha Vijijini na Kisarawe kuendelea kuipigania barabara itokayo Makofia, Yombo, Mlandizi mpaka Mzenga. Amewataja wabunge hao kuwa ni Muharami Mkenge (Bagamoyo), Silvestry Kona (Kibaha Mji), Michael Mwakamo (Vijijini) na Suleiman Jafo (Kisarawe) kuendelea kupigania bar...
April 22, 2021
"Rose Ndauka Bado Sana Kuimba" - Shamsa Ford Msanii wa filamu Shamsa Ford amemchana ukweli rafiki yake Rose Ndauka baada ya kuingia kwenye muziki kwa kumwambia hajui kuimba bora waaendelee kuigiza filamu huko kwengine waachie wasanii kama Maua Sama na Rosa Ree. Shamsa Ford amesema yeye binafsi hajui kuimba ila anapenda kucheza na kwa upande wa Rose Ndauka bado sana ila anasubiria show yake ambayo atakuwa anamuangalia na kumsikiliza huku akiwa ameshika shavu. "Rose Ndauka anapenda kuimba sio kw...