Biggest News Aggregation in the World
📰 Carousel Constructor Plugins News

Page 158 - Carousel Constructor Plugins News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.

Dkt. Kumbuka atangaza kuwa shabiki wa Simba akitokea Yanga

Dkt. Kumbuka atangaza kuwa shabiki wa Simba akitokea Yanga Dkt. Kumbuka atangaza kuwa shabiki wa Simba akitokea Yanga Msanii na Mtangazaji wa kituo cha radio cha EFM, Dkt. Kumbuka ametangaza rasmi kuwa shabiki mpya wa klabu ya Simba SC akitokea Yanga. Kumbuka ametangaza uwamuzi huo leo April 20, 2021 wakati klabu hiyo ikisaini mkataba wa miaka mwili wa Shilingi bilioni mbili na kampuni ya Vunja Bei Group kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi za Simba SC. “Ukiwa Simba unapata raha sana. N...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Dkt. Tulia: Milioni 50 Kila Kijiji Haipo, Rais Samia Hakuahidi

Dkt. Tulia: Milioni 50 Kila Kijiji Haipo, Rais Samia Hakuahidi Dkt. Tulia: Milioni 50 Kila Kijiji Haipo, Rais Samia Hakuahidi Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewataka wabunge kutombebesha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mzigo ambao hastahili kwamba hakuahidi kutoa TZS milioni 50 kila kijiji.   Dkt. Tulia amesema hayo bungeni mjini Dodoma na kueleza kuwa katika kampeni zake za uchaguzi wa mwaka 2015, Rais Samia, ambaye wakati huo alikuwa mgombea mwenza hakutoa ahadi h...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Majani Umeteleza Kumshambulia Binti yako Kwenye Radio, Wewe ni Sehemu ya Tatizo

Majani Umeteleza Kumshambulia Binti yako Kwenye Radio, Wewe ni Sehemu ya Tatizo Majani Umeteleza Kumshambulia Binti yako Kwenye Radio, Wewe ni Sehemu ya Tatizo   Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili. Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika. Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko mama anaetupiwa lawama zote. Majani alishindwa kusimama kama baba wakati wa makuzi ya Paula leo unakuja kuutangazia umm...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Simba na Vunjabei wasaini mkataba wa Bilioni 2 kwaajili ya jezi

Simba na Vunjabei wasaini mkataba wa Bilioni 2 kwaajili ya jezi Simba na Vunjabei wasaini mkataba wa Bilioni 2 kwaajili ya jezi Klabu ya @simbasctanzania yaingia mkataba wa Bilioni mbili na Vunja Bei kwaajili ya kufanya biashara ya kuuza jezi ya timu hiyo. Vunja Bei sasa watakuwa rasmi wauzaji wa jezi kwa timu zake zote. Miwani, Kasha za Simu, Kofia, Jezi na bidhaa nyingine nyingi zenye nembo ya Simba SC zitaanza kutengenezwa na Vunja Bei na kuuzwa rasmi kwa kupitia mkataba huo mnono wa Bilio...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

William na Harry wakutana kwenye msiba wa babu yao na kuzungumza baada ya ibada

William na Harry wakutana kwenye msiba wa babu yao na kuzungumza baada ya ibada William na Harry wakutana kwenye msiba wa babu yao na kuzungumza baada ya ibada   Mtawala wa Cambridge na Mtawala wa Sussex walionekana wakizungumza pamoja wakati wanaondoka katika mazishi ya babu yao, Mtawala wa Edinburgh. Kaka hao walizungumza wakati wanaondoka kanisa la St George huko Windsor, wakiwa pamoja na Mke wa Mtawal wa Cambridge. Ikiwa ni mara ya kwanza wawili hao kukutana tangu Mwanamfalme Harry alipoac...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Wabunge Wamtibua Rais Samia

Wabunge Wamtibua Rais Samia RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wabunge kuwa na mijadala inayojikita katika kupitisha bajeti za serikali kwa ajili ya maendeleo ya taifa badala mijadala ambayo haina tija kwa taifa.   Rais Samia amesema hayo leo Aprili katika Kongamano la kidini la taifa liliofanyika Dodoma ambapo ameeleza kuwa awamu ya Sita imeikita kuendeleza na kudumisha mema yaliyopita, yaliyopo na mapya na hiyo  ndio maana halisi ya kauli yakke ya ‘Kazi ...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Mburudishaji wa FNL ya EATV Ibiza Boy afariki kwa ajali, 'Ijumaa alikuwa na furaha kuliko kawaida'

Mburudishaji wa FNL ya EATV Ibiza Boy afariki kwa ajali, Ijumaa alikuwa na furaha kuliko kawaida Mburudishaji wa FNL ya EATV Ibiza Boy afariki kwa ajali, Ijumaa alikuwa na furaha kuliko kawaida David Urassa maarufu kama Ibiza Boy, amefariki dunia Alfajiri ya Aprili 18, 2021, kwa ajali ya gari maeneo ya Kinondoni Dar es salaam. Ibiza Boy alikuwa ni miongoni mwa waburudishaji kupitia kipindi cha #FridayNightLive​ cha EATV  Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:   DOWNLOAD APP YA...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

LULU DIVA afunguka baada ya tetesi za kuwa na BEN POL kimahusiano, adai huu ndio ukweli wake

LULU DIVA afunguka baada ya tetesi za kuwa na BEN POL kimahusiano, adai huu ndio ukweli wake LULU DIVA afunguka baada ya tetesi za kuwa na BEN POL kimahusiano, adai huu ndio ukweli wake   LULU DIVA afunguka baada ya tetesi za kuwa na BEN POL kimahusiano, adai huu ndio ukweli wake VIDEO:   DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science