vimarsana.com

Page 293 - Carousel Constructor Plugins News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Sarah Siwezi Rudiana na Harmonize Hata Akiomba Msamaha Tumepeana Block Kila Mahali

  Mwimbaji wa Tanzania Harmonize aliwaacha mashabiki wake kwenye bumbuwazi  baada ya kuomba msamaha hadharani kwa mkewe wa zamani Sarah kwenye akaunti yake ya Instagram. Wawili hao walikuwa pamoja kwa miaka minne, uhusiano wao ulikuwa wa kupendeza zaidi kati ya wanandoa wengine mashuhuri. Walienda kwenye hafla pamoja, na pia kuwafanya mashabiki kuwaona wao ni wanandoa kamili. Baada ya uhusiano wa miaka minne, Sarah alifahamu juu ya mtoto wa siri wa Harmonize ambaye alibarikiwa na mwanamke mwingine bado akiwa kwenye uhusiano naye.   Ingawa alimtambulisha binti yake kwa umma na baadaye akaomba msamaha kwa kumficha Sarah, hakusikia yoyotebali waliachana baada ya hayo. Samahani ndilo neno pekee naweza tumia kwa mwanamke huyu mrembo 👩 Alienipatia Miaka (4) Ya maisha Yake Nami Nikampatia (4) Yangu Tulipitia Mengi Ila itoshe Kusema Nilizingua Sanaa ..!!! Mpaka Mungu Alipoamua Kuniletea Mtoto Wangu wa Kwanza @zuuh konde Na Ndo Ikawa Mwisho Wa Safari Yetu Ya Pamoja. Naaam KUTELE

Director Kenny Akanusha Kutemwa na Diamond Platnumz

  Director Kenny amekanusha uvumi wa taarifa za kutemwa na msanii Diamond Platnumz baada ya kuonekana kubadilisha mwongozaji wa video yake mpya “Iyo” iliyofanyika na Hanscana. Mwongozaji wa video huyo amesema alikuwa amesafiri kwenda nchini Zimbabwe kikazi na ndio maana hakufanya video ya “Iyo” waliyoshiriki Focalistic, Mapara A Jazz na Ntosh Gazi kutoka Afrika Kusini bado yupo Zoom Extra.  Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE

Manara Naomba Serikali Inilinde Nani Amempa MO Mamlaka ya Kudukua Simu yangu

Manara Naomba Serikali Inilinde Nani Amempa MO Mamlaka ya Kudukua Simu yangu
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Ashtakiwa na Serikali Baada ya Kukutwa na Hatia ya KUMILIKI Kifaru cha Jeshi

Msaidizi wa rais wa Malawi akamatwa kwa shutuma za matumizi mabaya ya ofisi

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.