Woman gives birth to nine babies
Woman gives birth to nine babies
May 06, 2021
Share To:
A 25-year-old Malian woman has given birth to nine babies - two more than doctors had detected during scans. Share
SpaceX launches Starlink satellites into orbit
SpaceX launches Starlink satellites into orbit
May 04, 2021
Share To:
SpaceX launched a Falcon 9 rocket carrying 60 Starlink satellites from Kennedy Space Center at Cape Canaveral Tuesday. Share
Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo “heart attack” katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani
Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo “heart attack” katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani
Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna nchi ambazo raia wake wanafunga saumu hii tukufu kama nguzo moja kati ya tano za kiislaam. Chakula cha jioni au kama kinavyojulikana IFTAR/FUTARI mbali ya kuwa na aina mbali mbali za vyakula bali pia huwa ni vingi kuliko siku za kawaida.
Kula futari nyingi kipindi cha magharibi sio tu kutafanya wafungaji na waalikwa wengine kuongezeka uzito mwezi huu wa Ramadhan bali kwa wa wale walaji ambao wana matatizo mbali mbali ya moyo kama shinikizo la damu la juu (High Blood Pressure), moyo dhaifu (heart failure), moyo uliopanuka (Dilated Cardiomyopathy), mishipa/mirija ya moyo iliyoziba (coronary artery disease CAD) wanaweza kupata matatizo ya kiafya .
Mbunge Alia na Wingi wa Wanafunzi
Mbunge wa Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na wananchi wa eneo hilo kuzaliana sana.
“Tutakapofika mbali naamini shule za sekondari hazitaweza kutosha Vituka, Tandika. Naibu Waziri utakapokwenda na mbunge wa Mbagala upo tayari kwenda na Temeke,” amehoji Dorothy katika swali lake la nyongeza leo Jumatano Mei 5, 2021 bungeni mjini Dodoma.
Akijibu swali hilo naibu Waziri wa Tamisemi, David Silinde amesema yuko tayari kwenda na mbunge huyo katika jimbo hilo, “tutakwenda wote na wewe katika maeneo ya Vituka, Tandika tunafanya kazi ya wananchi na ninyi wote mnafahamu Serikali ya awamu ya sita imedhamiria kuondoa tatizo la madarasa nchi nzima.