Biggest News Aggregation in the World
📰 Headmen School News

Headmen School News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Headmen School. Real-time updates on events, politics, business and more.

Waziri Ummy Mwalimu atoa siku 7 kwa vyombo vya usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi watatu Mpwapwa

Waziri Ummy Mwalimu atoa siku 7 kwa vyombo vya usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi watatu Mpwapwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi 3 waliofariki kwa kufunikwa na kifusi katika Shule ya Msingi Mbori, Kata ya Motondo Wilayani Mpwapwa. Wakati huo huo Mhe. Ummy amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kuwaondoa Walimu wote wa shule ya Msingi Mbori kupisha uchunguzi unaondelea. ...
Teachersa Committee Infrastructurea Schoola Parents Country Bureau Sand In School Headmen School Minister Teacher

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science