Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: ' Ilibaki kidogo tu nimle rafiki yangu aliyefariki ili kujiokoa kufa njaa'
Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Ilibaki kidogo tu nimle rafiki yangu aliyefariki ili kujiokoa kufa njaa’ 8 Julai 2021, 06:17 EAT Chanzo cha picha, Wendy Stone/Getty images Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita baada ya zaidi ya miaka 20 ya mapigano.Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu...
Source: bbc.com