Biggest News Aggregation in the World
📰 Manuscript New News

Manuscript New News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Manuscript New. Real-time updates on events, politics, business and more.

Maelfu waandamana Ulaya kupinga vizuizi vya Covid-19 | IDHAA YA KISWAHILI | DW

Maelfu waandamana Ulaya kupinga vizuizi vya Covid-19 Maelfu ya raia kwenye mataifa kadhaa ya Ulaya waliandamana siku ya Jumamosi kupinga vizuizi vya kudhibiti kusambaa ugonjwa wa Covid-19 na sera za kuwalazimisha kudungwa chanjo. Maandamano mjini Paris Wengi walioandamana wanadai sera hizo zinatishia uhuru wa raia katika wakati serikali barani Ulaya zinazidisha shinikizo dhidi ya watu amabo hawajapatiwa chanjo. Nchini Ufaransa, kiasi watu 160,000 walijitokeza kuonesha ghadabu zao dhidi ya rais...
Council Representatives Council Senate Country France Manuscript New March The City Germany March
Source: dw.com

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science