📰 Master Netanyahu News
Master Netanyahu News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Master Netanyahu. Real-time updates on events, politics, business and more.
September 8, 2024
Robertson in the West Bank and this is cnn hello again and welcome. Its time to break down the big stories with some smart people. Today. The Count Countdown to the showdown. Kamala Harris And Donald Trump Face off tuesday in their big debate were looking at every angle from what they need to do to win, too, changing the narrative can both candidates convinced those still undecided voters theyre not as extreme as their opponents says they are later. Pencils down the centuries old tradition, your...
June 14, 2021
Naftali Bennett : Waziri mkuu mpya wa Israel aapa kuliunganisha taifa Saa 8 zilizopita Chanzo cha picha, Reuters Waziri Mkuu mpya wa Israel Naftali Bennett ameapa kuliunganisha taifa hilo lililofadhaika na chaguzi nne katika kipindi cha miaka miwili ya kukwama kisiasa. Alisema serikali yake "itafanya kazi kwa ajili ya watu wote", akiongeza kuwa vipaumbele vitakuwa mageuzi katika elimu, afya na kupunguza taratibu nyingi za serikali. Mzalendo huyo wa mrengo wa kulia ataongoza muungano ambao hauja...
June 3, 2021
Vyama vya upinzani vya Israeli vimefikia makubaliano ya kuunda serikali mpya ambayo itamaliza miaka 12 ya utawala wa Benjamin Netanyahu kama Waziri mkuu.