Usain Bolt:Raia wa Jamaica ambaye kasi yake iliushangaza ulimwengu
Usain Bolt:Raia wa Jamaica ambaye kasi yake iliushangaza ulimwengu 26 Julai 2021, 07:23 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Ni wanamichezo ambao uwezo,talanta na rekodi zao zitasalia katika kumbukumbu za historia kwa muda mrefu .Wengine wameshastaafu lakini wenzao bado wapo katika tasnia ya michezo.Wikii hii tunakupakulia safari za wanamichezo wa kipekee ambao wamengara na kuacha mifano ya kuigwa katika aina mbali mbali ya michezo.Leo tunamuangazia Usain Bolt anayeshikilia rekodi ya dunia ya mb...
Source: bbc.com